sw_tn/lev/20/17.md

1.0 KiB

mwanaume analala na

Tazama maelezo hapo juu

ama ni binti ya baba yake au binti ya mama yake

Tazama katika sura zilizotangulia

Ni lazima wakatiliwe mbali watoke

Tazama maelezo ya sura 7:19

Ni lazima aibebe hatia yake

Kirai hiki humaanisha kwamba mtu anawajibika kwa thambi yale. : "Yeye anawajibika kwa dhambi yake" au "Ywawapasa kumwadhibu yeye"

kipindi cha hedhi

wakati ambapo mwanamke anatokwa damu kutoka katika tumbo lake la uzazi

atakuwa amefunua mtiririko wa damu yake, chanzo cha damu yake.

Kirai hiki kinafananisha kule kufanya ngono na mwanamke wakati akiwa kwenye kipindi chake hedhi kuwa ni sawasawa na kufunua kitu mambacho kilipaswa kubakia kimefichwa. Ule uhalisia kwamba hili liliikuwa ni jambo la aibu kukifanya linaweza kuwekwa wazi. : "amefanya jambo la aibu kwa kufunua kmtirirrko wake wa damu"

Ni lizima wote wawili wakatiliwe mbali

Yaweza kuwekwa wazi kwanini hili yapasa litendeke. : "kwa sababu wamefanya jambo hili la aibu, ni lazima wote wawili, mwanaume na mwanamke wakatiliwe mbali"