sw_tn/lev/19/23.md

596 B

Taarifa kwa Ujulma

Yahe anaendelea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda.

kisha mtayahesabu matunda yatakayozaliwa kuwa yamekatazwa kuliwa. Halitaliwa

Yahweh analirudia katazo ili kulikazia na kuweka wazi kwamba ni lazima kwa miaka mitatu ya kwanza ya mti kuzaa matunda. Ni lazima kuwe na kipindi maalum kwa miti kuachwa peke yake. : "nawe hutakula matunda ya miti kwa miaka mitatu ya kwanza"

Tunda litakatazwa kwako

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Nimelikataza tunda kwako"

Nalo alitaliwa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sharti usilile"