sw_tn/lev/19/15.md

688 B

Usisababishe hukumu ikawa ya uongo

Hii hasi ya maradufu imetumika kusisitiza. Inaweza kuelezwa katika nji chanya. : "Hukumu kwa haki siku zote"

Usionyeshe upendeleo kwa mtu fulani eti kwa kuwa tu yeye ni masikini na usionyeshe upendeleo kwa mtu fulani eti kwa kuwa tu yeye ni mtu muhimu

Yale maneno "masikini" na "muhimu" ni mambo mawili yenye kukithiri, ambayo kwa pamoja humaanisha "yeyote." : "Haikupasi kuonyesha upendeleo kwa yeyote kwa msingi wa kiasi cha wingi wa fedha walizo nazo.

amua juu ya jirani yako kwa haki

""mhukumu kila mmoja kwa kulingana na haki"

Usiende huku na huko ukisema habari za uchochezi

"Usiende huku na huko kwa watu wengine huku ukisengenya"