sw_tn/lev/18/09.md

540 B

ama ni binti ya baba yako au ni binti ya mama yako

Hii humaanisha mwanaume hawezi kulala na iwapo wa mazazi wale wale hata kama ana mama au baba tofauti.

ama aliyelelewa nyumbani mwenu au mbali nawe

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ama alikulia nyumbani kwenu au mbali"

Usilale na binti ya mke wa baba yako,

Maana mbili zinazowezekana ni 1) "usilale na dada yako wa kambo au 2) "usilale na dada yako wa kunyonya." Hapa mwanaume hana baba au mama mmoja na mwanamke. walikuwa kaka na dada wazazi wao walipooana.