sw_tn/lev/18/06.md

151 B

wake za baba yako

Wakati mwingine wanaume walikwa na zaidi ya mke mmoja. Mungu hakumruhusu mwana kulala na mwanamke yeyote aliyeolewa na baba yake.