sw_tn/lev/17/12.md

16 lines
335 B
Markdown

# Niliwaambia
"Niliwambia" hapa humaanisha Yahweh
# asiwepo miongoni mwenu impasaye kula damu
"asiwepo mingoni mwenu awezaye kula nyama pamoja na damu ndani yake"
# awezaye kuliwa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ambao nilisemba wanaweza kuwala"
# na kuifukia kwa udongo hiyo damu
"na kuifunika damu mavumbi"