|
# ambaye damu yake ililetwa
|
|
|
|
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ambaye damu yake Aroni aliileta"
|
|
|
|
# lazima wapelekwe
|
|
|
|
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa mtu fulani ambebe"
|
|
|
|
# ngozi zao
|
|
|
|
"ngozi zao" "zao" hapa humaanibsha fahali na mbuzi
|