# Hizi ndizo kanuni
"haya ndiyo mambo yapasayo kutendeka"
# kumfanya najisi...humfanya najisi
Tazama maelezo ya sura 13:20
# aliye katika kipindi cha hedh
"aliyedamuni" au "ananyetokwa damu kutoka kwenye mji wake wa mimba"