sw_tn/lev/15/31.md

8 lines
335 B
Markdown

# Hivi ndivyo inavyokupasa kuwatenga watu wa Israeli kutoka katika unajisi wao
Yahweh anazungumzia juu ya kuwalinda watu dhidi ya kuwa najisi kana kwamba ilikuwa ni kuwaweka watu salama mbali kutoka kwenye uchafu. "Hivi ndivyo iwapasavyo kuwakinga watu wa Israeli dhidi ya kuwa najisi"
# unajisi wao
Tazama maelezo ya sura ya 13;@0