sw_tn/lev/15/19.md

235 B

hedhi...kipindi chake

Haya yote mawili hurejelea kwenye kipindi cha kutirirka kwa damu kutoka kwenye tumbo la mwanamke.

uchafu kutengwa kwake kutaendelea

"ataendelea kuwa mchafu"

kitakuwa najisi

Yazama maelezo ya sura 13:20