sw_tn/lev/15/08.md

267 B

mtu mwingine aliyesafi

Tazama maelezo ya sura 13:23

atakuwa najisi

Tazama maelezo 13:20

Tandiko

Tandiko ni kiti cha ngozi ambacho mtu hukiweka mgongoni mwa farasi ili kumpanda aende safari

Tandiko lolote...litakuwa najisi

Tazama maelezo ya sura 13:20