sw_tn/lev/14/08.md

12 lines
276 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anawaambia Musa na Aroni kile ambacho watu wafanye mtu anapotakaswa ugonjwa wa ngozi
# ambaye amekuwa akitakasw
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Mtu ambaye kuhani anamtakasa"
# naye atakuwa safi
Tazama maelezo ya sura 13:23