sw_tn/lev/13/35.md

308 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.

baada ya kuhani kutangaza kuwa alikuwa safi...Yeye ni safi, naye kuhani atamtangaza safi

Tazama maelezo ya sura 13:23

Mtu huyo ni najisi

Tazama maelezo ya sura 13:20