sw_tn/lev/12/01.md

477 B

naye atakuwa najisi

Mwanamke ambaye watu wengine haiwapasi kumgusa kwa sababu anatokwa ujauzito wake anazungumziwa kana kwamba alikuwa najisi kimaumbile.

katika siku za kipindi chake kwa mwezi

Hii hurejealea kipindi cha mwezi mwanamke anapotokwa na kutokana na ujauzito wake.

nyama ya govi la mtoto mvulana itatahiriwa

Ni kuhani tu pekee angeweza kufanya tendo hili. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kuhani ndiye apaswaye kumtahiri mtoto mvulana"