sw_tn/lev/11/46.md

702 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anamaliza kuwaambia Musa na Aroni kile anachowaruhusu watu kula na kilea nachowakataza kula.

kwa jili ya kile kinachopaswa kutofautishwa kati

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. :"kwa ajili ya kupambanua baina ya"

kutofautishwa kati ya kilicho najisi na kilicho safi

Wale wanyama ambao MUngu aliwataja kuwa hawafai kwa watu kuwa gusa au kuwala wamezungumziwa kana kwamba walikuwa wachafu kimaumbile, nwa wale aliowataja kukubalika kwa watu kuwagusa na kuwala wamezungumziwa kana kwamba walikuwa wasafi kimaumbile.

ambavyo vyaweza...visivyoweza kuliwa."

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ambacho mwaeza kula...amcho hamwezi kula"