sw_tn/lev/11/41.md

423 B

atakua chukizo

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa mmchukie" au "yapasa mkatae"

Taariifa kwa Ujumla

Yahweh anaendele kuwaambia Musa na Aroni ni wanyama gani ambao watu waahesabu najisi

hatakuwa wa kuliwa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Haipasi kumla"

watakuwa machukizo.

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa kuwachukia" au "Lazima muwakate"