sw_tn/lev/10/19.md

411 B

jambo hili vilevile limetendeka kwangu

Aroni anarejea kwa kifo cha wanawe wawili.

Isingekuwa imeshapendeza mbele za Yahweh?

Dhabihu hizi zilikuwa za kuliwa kwa shangwe na furaha. Aroni anatumia swali kusisitiza kwamba Yahweh asingekuwa amependezwa naye kwa kula dhabihu kwa kuwa anahuzuni kwa sababu ya vifo vya wanawe. Swali hili laweza kufasiriwa kama tamko. : "hakika Yahweh asingekuwa amependezwa."