sw_tn/lev/07/22.md

12 lines
551 B
Markdown

# Kisha Yahweh akazungumza na Musa, akisema, "Zungumza na watu wa Israeli na uwaambie, 'hamruhusiwi kula mafuta
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja yaweza kutamkwa kama nukuu taarifa yenyekutajwa. "Kisha Yahweh na akamwambia Musa kumbia kuwaambia watu wa Israeli kwamba: "Hamtakula mafuta"
# afaye peke yake bila ya kuwa dhabihu
"aliyekufa peke yake lakini hakuwa dhabihu"
# mafuta ya mnyama yeyote aliyeraruliwa na wanyama pori
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "mafuta ya mnyama yule ambaye mnyamapori alimuua"