sw_tn/lev/07/13.md

8 lines
190 B
Markdown

# vipande vya mikate iliyotiwa hamira
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji: : : "vipande vya mkate alioufanya kwa kutia hamira"
# vipande vya mkate
Hii humaanisha mkate mnene.