sw_tn/lev/06/27.md

732 B

Chochot kigusacho nyama yake kitakuwa kitakatifu

Hili ni onyo linalomaanisha kwamba zaidi ya makuhani hakuna impasaye kugusa nyama ya sadaka ya dhambi. Maana kamili ya maelezo haya yaweza kuweka wazi.

kama damu yake inanyunyizwa juu

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "iwapo damu yake inanyunyizwa juu"

chungu ambamo inachemshiwa lazima kivunjwe

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "yakupasa kukivunja chungu ambacho ndani yake uliichemshia"

kama imechemshwa ndani ya chombo cha shaba, lazima kisuguliwe na kusafishwa kwa maji

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "kama ulichemsha nyama kwenye kwenye sufuria ya shaba, hivyo itakupasa kuisugua sufuria na kuisuuza kwa maji safi"