sw_tn/lev/04/13.md

450 B

bila kukusudia

"bila kujua"

ameamru yasitendwe

Hili laweza kuutamkwa katika mtindo tendaji. : "alichowaamru wasikitende"

hiyo dhambi waliyoitenda ikawa imejulikana

Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "wanapotambua kwamba wametenda dhambi"

wataweka mikono yao juu ya kichwa

Tazama maelezo katika sura 1:3 uone lilivyofasiriwa

huyo fahali atachinjwa

Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Nao watamuua huyo fahali"