sw_tn/lev/03/01.md

16 lines
543 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Musa anaendelea kuwaambia watu kile ambacho Yahweh anataka wao wafanye.
# mbele za Yahweh
"katika uwepo wa Yahweh" au "kwa Yahweh"
# Ataweka mikono yake
Hili ni tendo la kiishara ambalo humfananisha mtu na mnyama anayemtoa. Katika njia hii mtu huyo anajitoa mwenyewe kwa Yahweh kwa kupitia mnyama. Tazama lilivyotafsiriwa katika sura ya 1:3
# wana wa Aroni watainyunyiza damu yake
Inaashiria kwamba kabla hawajainyunyiza damu ,waliikinga kwanza hiyo damu katika bakuli walipokuwa akiichuruzisha kutoka kwa Munyama.