sw_tn/lam/01/08.md

20 lines
522 B
Markdown

# Yerusalemu ili tenda dhambi sana
Hii yaelezea Yerusalemu kama mtu aliye tenda dhambi, pia ina wakilisha wakazi wa Yerusalemu.
# uchi wake
Yersualemu inaelezea kama mwanamke ambaye sehemu zake za siri zimefunuliwa kwa kila mtu amuaibishe.
# Anguko lake lilikuwa baya
"Kuanguka kwake kulishangaza" au "hao walioyo muona
# Angalia mateso yangu, Yahweh
Maana zinazo wezekana 1) mwandishi wa Maombolezo anaongea moja kwa moja na Yahweh au 2) Yerusalemu inaelezewa kuongea na Yahweh kama mtu.
# Angalia
"kuwa makini"