forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
556 B
Markdown
12 lines
556 B
Markdown
# Je dhambi zetu huko Peori hazikututosha?
|
|
|
|
Swali hili hutia mkazo juu ya dhambi zao za awali. Hii inaweza kuandikwa kwa maelezo haya. "Tumeshatenda dhambi huko Peori."
|
|
|
|
# Bado hata sasa hatujajitakasa wenyewe kwa dhambi hiyo
|
|
|
|
sentensi hii inaweza kuelezeka vizuri kwa kauli ya kukubali. Bado tunahangaika na hatia za dhambi ile.
|
|
|
|
# Je, nanyi leo pia mwageuka na kuacha kumfuata Yahweh?
|
|
|
|
Swali hili limetumika kwa ajili ya kuwakemea watu kwa ajili ya dhambi yao. Hii pia yaweza kuandikwa kama maelezo. "Hamtakiwi kugeuka na kuacha kumfuata Yahweh leo!"
|