sw_tn/jos/21/32.md

16 lines
341 B
Markdown

# Kutoka kwa kabila la Nafutali, nasaba za Gershoni walipewa miji mitatu kwa ujumla - Kedeshi
Muundo tendaji unaweza kutumika pia. "Koo za Gershoni zilipokea Kadeshi kutoka kwa kabila la Nafutali"
# Gershoni
Hili ni jina la mtu
# Hamothidori...Kartani
Haya ni majina ya miji
# miji kumi na mitatu kwa ujumla
"miji 13 kwa ujumla wake"