sw_tn/jos/14/06.md

12 lines
253 B
Markdown

# Yefune
Hili ni jina la mwanaume
# Mkenizi
Hili ni jina la kikundi cha watu
# Nilimletea taarifa tena kama nilivyotakiwa kufanya katika moyo wangu.
Hapa neno "moyo" linawakilisha mawazo. Hii ni nahau inayorejelea taarifa iliyotolewa kwa uadilifu.