sw_tn/jos/10/36.md

12 lines
522 B
Markdown

# Egloni
Hili ni jina la mji
# aliuteka mji na kuwaua kwa upanga
upanga unawakilisha jeshi la Israeli, na kitendo cha kuwapiga na kuna maana ya kuwachinja
# Waliuteka mji na kuwaua kwa upanga watu wote ndani yake pamoja na mfalme wake, kujumuisha na vijiji vyote vilivyoizunguka. Waliteketeza kabisa kila kiumbe hai ndani yake, hawakuacha hata mtu mmoja aliyesalia
Sentensi hizi mbili zinazungumzia kimsingi maana moja, na zimeunganishwa ili kutia mkazo. Kwa pamoja zinatia mkazo na kuonesha ukamilifu wa uharibifu.