sw_tn/jos/08/34.md

8 lines
302 B
Markdown

# Halikusalia hata neno moja katika yote ambayo Musa alimwagiza Yoshua ambalo halikusomwa
Maneno haya yaweza kuelezwa kwa kauli kubalifu kama "Yoshua alisoma kila neno kati ya yote ambayo Musa aliyaagiza" au "Yoshua aliisoma sheria yote ya Musa."
# Israeli
Neno hili linalirejelea taifa la Israeli