forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
441 B
Markdown
8 lines
441 B
Markdown
# Basi
|
|
|
|
Neno hili limetumika hapa kuonesha pumziko katika masimulizi. Hapa msimlizi anatueleza kwanini malango ya Yeriko yalikuwa yamefungwa
|
|
|
|
# nimeweka Yeriko katika mkono wako, mfalme wake pamoja na wanajeshi wake waliofunzwa.
|
|
|
|
Sehemu hii maneno "katika mkono wako" yana maana kwamba Yahweh alimpa Yoshua uwezo wa kuwaangamiza. Pia twaweza kusema, "Ninakupatia nguvu za kuishinda Yeriko, mfalme wake, na wanajeshi wakeo waliofundishwa."
|