sw_tn/jos/05/14.md

16 lines
443 B
Markdown

# Akajibu
Kiwakilishi 'a' kinawakilisha mtu yule ambaye Yoshua alimwona
# la hasha
Hili ni neno la mwanzoni la jibu la mtu kwa swali la Yoshua. "Je uko upande wetu au wa maadui zetu?"Jibu fupi hili laweza kuelezwa kama "Siko upande wenu wala upande wa adui zenu"
# Yoshua akainamisha uso wake juu ya nchi akaabudu
Hili lilikuwa ni tendo la ibada/ kuabudu
# Vua viatu vyako miguuni mwako
Hili lilikuwa ni tendo la heshima na unyenyekevu