sw_tn/jos/05/02.md

8 lines
486 B
Markdown

# Tengenezeni visu vya mawe na mara moja mwatahiri wanaume wote
Kulikuwa na watu waume zaidi ya 600,000/, hivyo na ijulikane kuwa wakati Yoshua alikua ni kiongozi wa kazi hii, watu wengi walimsaidia. Twaweza kusema pia "Yoshua na waisraeli wenyewe walijitengenezea visu vya mawe........ waliwatahiri wanaume wote.
# Gibea Haaraloti
Hili ni jina la mahali/sehemu ambalo lilikuwa ni kwa ajili ya kumbukumbu ya Waisraeli kujitoa kwao mbele kwa Yahweh. Ina maana ya "kilima cha magovi"