sw_tn/jon/04/08.md

28 lines
921 B
Markdown

# Mungu aliandaa upepo mkali wa mashariki
Mungu alisababisha upepo mkali kutoka mashariki ili kumpiga Yona. Ikiwa upepo unaweza kumaanisha upepo baridi au baridi basi unaweza kujaribu hii. AT 'Mungu alimtuma joto la moto sana kutoka mashariki hadi Yona
# jua lilipiga chini
"jua lilikuwa kali sana"
# kichwa cha Yona
Yona anaweza kuwa amehisi joto kali juu ya kichwa chake. AT "juu ya Yona"
# akaanguka
"akawa dhaifu sana" au "alipoteza nguvu zake"
# Ni bora kwangu kufa kuliko kuishi
"Ningependa kufa kuliko kuishi" au "Kwa sababu nataka kufa. Sitaki kuishi. "Tazama jinsi ulivyotafasiri hii katika 4 1.
# ni vema wewe kuwa na hasira juu ya mmea?
Mungu anamjaribu Yona kwa kuwa na hasira kwamba mmea umekufa na bado Mungu alitaka kuwaua watu wa Ninawi. AT "Hasira yako juu ya mmea kufa sio nzuri."
# Ni vyema kuwa nimekasirika hata kufa.
"Ni vizuri kwamba nina hasira. Sasa nimekasirika hata kufa! " (UDB)