sw_tn/jon/04/01.md

1.2 KiB

Eh, Bwana

Neno "Eh" linaelezea hisia ya Yona ya kuchanganyikiwa.

haya sio yale niliyosema wakati niliporudi katika nchi yangu

Yona alitumia swali hili la kumwonyesha Mungu jinsi alivyo hasira. Pia, kile Yona alisema wakati aliporudi katika nchi yake mwenyewe inaweza kuelezwa waziwazi. AT "Nilipokuwa bado katika nchi yangu nilijua kwamba kama nitawaonya watu wa Ninawi, watajibu, na huwezi kuwaangamiza"

Nilifanya kwanza na kujaribu kukimbia Tarishishi

Inawezekana maana ni 1) 'Nilijaribu kuzuia hili kwa kukimbilia Tarshishi' au 2) 'Nilifanya haraka na kujaribu kukimbia Tarshishi' au 3) 'Nilifanya yote niliyoweza kukimbia Tarshishi.'

wingi katika uaminifu

"mwaminifu sana" au "unapenda watu sana" (UDB)

unaghairi kutuma maafa

Hii inamaanisha 'unasema kuwa utapeleka maafa juu ya wenye dhambi, lakini kisha usiamua.' AT 'unaamua kuwaadhibu watu ambao wanafanya dhambi'

uniondoe uhai wangu

Sababu ya Yona ya kutaka kufa inaweza kuelezwa waziwazi. AT "kwa vile hutaangamiza Ninawi kama ulivyosema ungependa, tafadhali niruhusu nifariki" (UDB)

kwa maana ni bora kwangu kufa kuliko kuishi

"Ningependa kufa kuliko kuishi" au "kwa sababu nataka kufa. Sitaki kuishi "