sw_tn/jon/03/08.md

1.1 KiB

Taarifa za jumla

Huu ni muendelezo wa kile Mfalme aliwambia watu wa Ninawi.

Lakini wote

"wote"

Lakini watu na wanyama wawe wamefunikwa kwa magunia

Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "waache watu na wanyama huvaa magunia" au "waache watu na kujifunika wenyewe na wanyama wao kwa magunia"

wanyama

Neno "mnyanya" inatambulisha wanyama ambao watu wanafuga.

kulia kwa sauti kuu kwa Mungu

"ombe kwa bidii kwa Mungu." Walipaswa kuomba kwa ajili yao inaweza kuwekwa wazi. "Kulia kwa sauti kubwa kwa Mungu na kuomba huruma"

udhalimu uliyopo mikononi mwake

Hii inamaanisha "mambo ya kidhalimu aliyofanya"

Nani ajuae?

Mfalme alitumia swali hili la kuvutia ili kuwafanya watu kufikiri juu ya kitu ambacho hawangeweza kufikiri iwezekanavyo, kwamba kama watakapoacha kutenda dhambi, Mungu hawezi kuwaua. Inaweza kutafsiriwa kama taarifa 'Hatujui.' Au inaweza kuelezwa kama neno na kuwa sehemu ya hukumu ijayo "Labda."

Mungu anaweza kurejea na kubadili mawazo yake

"Mungu anaweza kufanya kitu tofauti" au "Mungu hawezi kufanya kile alichosema atafanya"

tusiangamie

"hatutakufa." maangamizi yake ni sawa na kuozea baharini.