sw_tn/jon/03/01.md

908 B

Neno la Bwana likaja

Hii ni idiamu ambayo inamaanisha Yahweh alisema. Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1: 1. AT "Bwana alizungumza ujumbe wake' (Angalia tini_idiamu)

neno la Bwana

Hapa "neno" linawakilisha ujumbe wa Bwana. AT "ujumbe wa Bwana"

"Ondoka, uende Ninawi, mji ule muhimu"

"Nenda kwenye mji muhimu wa Ninawi"

Ondoka

Hii inarejea kuondoka

uhubiri ujumbe ule ambao nitakuagiza

"waambie watu kile ambacho nimekwambia uwaambie"

Basi Yona akaondoka akaenda Ninawi kwa kutii neno la Bwana

"Wakati huu Yona alimtii Bwana na kwenda Ninawi"

Basi Yona akaondoka

"Basi Yona akaondoka pwani." "akaondoka" ina maana ya kuondoka mahali Yona alikuwapo.

Sasa

Neno hili linatumiwa hapa kuashiria mabadiliko kutoka kwenye hadithi hadi habari kuhusu Ninawi.

moja kati ya safari ya siku tatu

"mji wa safari ya siku tatu". Mtu alipaswa kutembea kwa siku tatu ili apite kabisa.