sw_tn/jon/02/01.md

727 B

Bwana Mungu wake

Hii inamaanisha "Bwana", Mungu aliyemwabudu." Neno "wake" haimaanishi kwamba Yona alikuwa na Mungu.

Akasema

"Yona akasema"

Nimemwita Bwana juu ya shida yangu

'Nilimwomba Bwana kuhusu shida yangu kubwa.' Ingawa Yona alikuwa akimwomba Bwana, alitumia jina la Bwana hapa na si "wewe." AT "Bwana, nimekuita juu ya shida yangu'

naye akanijibu

"Bwana alinijibu" au "alinisaidia"

kutoka tumbo la Kuzimu

"kutoka katikati ya Kuzimu' au 'kutoka sehemu ya kina ya Kuzimu.' Inawezekana maana ni 1) Yona alikuwa akizungumza kama alikuwa ndani ya tumbo la nyangumi alikuwa akiwa Kuzimu au 2) Yona aliamini kwamba alikuwa karibu kufa na kwenda Kuzimu au 3) Alizungumza kama alikuwa amekufa na kwenda huko.