sw_tn/jon/01/11.md

808 B

walimwambia Yona

"watu waliokuwa katika meli wakamwambia Yona" au "wasafiri walimwambia Yona"

tukutendee wewe ili kwamba Bahari iweze kutulia

"kufanya nawe ili kufanya bahari kuwa tulivu" (UDB)

bahari ilikuwa imechafuka zaidi na zaidi.

Hii ndiyo sababu watu waliuliza Yona nini wanapaswa kufanya. Sababu pia inaweza kupatikana mwanzoni mwa mstari wa 11 katika UDB.

kwa maana najua kwamba ni kwa sababu yangu kwamba tufani hii kubwa iwapate

kwa sababu najua dhoruba hii kubwa ni kosa langu'

Hata hivyo, watu hao wavuta makasia kwa bidii ili kurudi nchi kavu

Watu hawakutaka kumtupa Yona ndani ya bahari, kwa hiyo wakapiga kasia kwa nguvu kama vile wanalima ndani ya maji ili kurudi kwenye nchi

bahari ikawa imechafuka zaidi na zaidi

"dhoruba ikawa mbaya zaidi, na mawimbi yakawa kubwa"