sw_tn/jol/03/20.md

404 B

Taarifa za jumla

Bwana anaendelea kusema juu ya siku ya Bwana.

Yuda utakua mwenyeji milele

Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT 'Watu watakaa Yuda milele'

Yerusalemu itakuwa kizazi hata kizazi

Katika: "Uzazi baada ya kizazi, watu watakaa Yerusalemu"

Nitawalipizia damu yao, ambayo sijajilipizia kisasi

AT "Nitawaadhibu maadui ambao waliwaua watu wa Israeli na bado hawakuadhibiwa"