sw_tn/jol/02/20.md

185 B

Taarifa za jumla

Mungu anaendelea ahadi yake kwa Israeli.

kaskazini .... mashariki....... magharibi

Maelekezo haya yanatoka kwa mtazamo wa watu wanaoishi katika nchi ya Israeli.