sw_tn/jol/02/10.md

506 B

Nchi hutikisika mbele yao, mbingu hutetemeka, jua na mwezi ni giza, na nyota zinaacha kuangaza.

Kuna nzige nyingi ambazo dunia na anga hutetemeka, na vitu vyote vilivyo mbinguni havionekani.

Bwana huinua sauti yake

Bwana akaonyesha uwezo wa Mungu na amri juu ya jeshi. AT "Yahweh ina udhibiti"

kubwa na yakutisha sana

Katika maneno haya yote maelezo yana maana kimsingi jambo moja. AT "kutisha sana"

Nani anayeweza kuishi?

AT "Hakuna mtu atakuwa na nguvu ya kutosha kuishi hukumu ya Bwana."