sw_tn/jol/02/06.md

12 lines
237 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Joel anaendelea kuelezea jeshi la nzige la Yahweh.
# Wanakimbia kama wapiganaji wenye nguvu..... wanapanda kuta kama askari
Jeshi la nzige limeelezewa kuwa linafanya kama askari halisi.
# kuta
kuta karibu na miji