sw_tn/jol/02/04.md

575 B

Taarifa za jumla

Maelezo yanaendelea na sauti za jeshi la farasi.

Farasi

Mnyama mkubwa na wa haraka na miguu minne.

Muonekano wa jeshi ni kama farasi

Mkuu wa nzige anaonekana kama kichwa cha farasi mdogo na jeshi ni kali na haraka kama farasi.

wanakimbia kama wapanda farasi

Jeshi linakwenda haraka, kama watu wanaoendesha farasi.

ruka

farasi anaruka au huruka kwa kasi kama anakimbia haraka.

kelele kama ile ya magari..... kama kelele za muale wa moto.... kama jeshi la nguvu lililo tayari kwa vita

Hizi zinalinganishwa na kelele ya jeshi la nzige.