sw_tn/jol/01/08.md

216 B

Taarifa za jumla

Mungu anaendelea kuongea na watu wa Israeli.

nchi imekuwa dhaifu

Hapa nchi inazungumzwa kama kama mtu. Hata hivyo, matoleo mengine hutafsiri kifungu hiki kama mfano tofauti "Nchi huomboleza."