sw_tn/jol/01/04.md

412 B

Yale yaliyosazwa na tunutu

vikundi vingi vya wadudu kama viwavi vinavyoruka pamoja na kula maeneo makubwa ya mazao ya chakula

Tunutu ..... Nzige .... Panzi ... Madumadu

Hizi ni, kwa mtiririko huo, nzige wakubwa ambao wanaweza kuruka, nzige wawezao kuruka kwa urahisi, nzige wenye mbawa pia mdogo wa kuruka, na nzige wachanga ambayo bado hawajawa na mabawa. Tumia majina ambayo yataeleweka kwa lugha yako.