sw_tn/jol/01/01.md

306 B

Taarifa za jumla

Mungu anaongea kupitia Yoeli kwa watu wa Israeli wakitumia mashairi.

neno la Bwana lililomjia

"neno ambalo Bwana Mungu alinena"

Pethueli

Babayake Joeli

Je! Hii imewahi kuwa kabla ya siku zenu au katika siku za baba zenu

AT "Hii haijawahi kutokea kabla ya yenu au baba zenu"