forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
476 B
Markdown
12 lines
476 B
Markdown
# hata miungu huogopa;
|
|
|
|
"Hata watu wenye nguvu huwa waoga"
|
|
|
|
# Yeye hufikiri juu ya chuma kana kwamba ni majani makavu
|
|
|
|
"Hufikiri juu ya silaha zilizotengenezwa kwa chuma kana kwamba zilikuwa ni silaha zilizotengenezwa kwa majani makavu" Hii inaonesha jinsi ambavyo vyuma imara huwa dhaifa kwa mamba.
|
|
|
|
# hufikiri juu ya fedha kana kwamba ni ubao uliooza
|
|
|
|
"'Hufikiri juu ya silaha zilizotengenezwa kwa fedha kana kwamba zilikuwa ni silaha zilizotengenezwa kwa mbao zilizooza."
|