sw_tn/job/40/06.md

4 lines
245 B
Markdown

# Jifunge sasa mkanda kiunoni mwako kama mwanaume
Hii humlinganisha Ayubu na mtu anayejiweka tayari kwa ajili ya kazi. ''Jifunge mkanda kiunoni mwako'' ina maana ya kujifunga kipande cha nguo katika sehemu ya mkanda ili mtu aweze kufaya kazi.