sw_tn/job/38/06.md

28 lines
545 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu
# Ni nani............jiwe la pembeni
Yahweh anatumia maswali haya kutia makazo kwamba Ayubu hajui jinsi Yahweh alivyoifanya dunia.
# Misingi yake ilitandazwa juu ya nini?
Ni juu ya nini misingi ya dunia iliwekwa.
# nyota za asubuhi
"nyota angavu ambazo huangaza asubuhi"
# wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja
Yahweh anaelezea juu ya nyota kana kwamba walikuwa ni watu walioweza kuimba.
# wana wa Mungu
"malaika"
# kwa furaha
"kwasababu walikuwa na furaha imejaa"