sw_tn/job/35/09.md

16 lines
521 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza
# katika mikono ya watu wenye nguvu
Mahali hapa "mikono" ina maana ya ya nguvu au uwezo.
# Lakini hakuna hata mmoja asemaye, ' Mungu Muumba wangu yuko wapi....ndege wa angani?
"Lakini mtu wa haki kweli si mwenye kiburi hata kwa kusema kwamba Mungu amekataa kuwapa uwezo wa kuimba nyimbo za furaha, wakati wa mateso yao."
# ambaye hutoa nyimbo wakati wa usiku,
Hii ina maana kwamba ahadi za Mungu huwapa watu sababu ya kuwa na furaha hata wakati wakiwa katika mateso.