sw_tn/job/34/13.md

16 lines
424 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza
# Ni nani aliyemweka kuwa mtawala wa dunia? Ni nani aliyeiweka dunia yote chini yake?
Kauli hii ina maana moja. "hakuna hata mmoja ambaye anahitaji kumpa Mungu ruhusa ili anaye majukumu yake juu ya dunia yote. Yeye ni mwenye haki katika kuutawala ulimwengu wote."
# nafsi yake na pumzi yake
"nafsi yake na pumzi amabayo hutupa uzima"
# miili yote
"viumbe hai vyote "